yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Maulid Kitenge kama kawaida yako Chuki, Wivu na Unafiki dhidi ya Simba SC vinakumaliza

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF. Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
  2. Pdidy

    Waacha waambiane wasemezane mabaya juu yako, usikate tamaa. Ipo siku wataambiana wema wa Mungu juu yako

    Utakalofika wakati WA kuinuliwa wataambiana ati yule kahaba ana familia yake Wataambiana kikaragosi ana nyumba na gari leoo hiii Mwishooo wataambiana wema WA Mungu maishani mwako USIKATE YAMAA Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya wameitunza mengi mioyoni mwayo Usijeona wanakuchekea...
  3. Ojuolegbha

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  4. Chizi Maarifa

    Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa...
  5. Dalali wa mjini

    Maisha ni magumu lakini sio kukimbia familia (Damu Yako)

    Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha...
  6. Mshana Jr

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
  7. GENTAMYCINE

    Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  8. S

    Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  9. S

    Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

    Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
  10. Top Gun

    Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  11. Meneja Wa Makampuni

    Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and...
  12. Damaso

    Titanic inazama je utatoa nafasi yako ili umuokoe mwanamke

    Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya jamii zetu. Ila sifa na mapambio yakiwa mengi tena wakati mwingine yakitumia maneno ya kutusi...
  13. RIGHT MARKER

    Kipimo cha mwanaume wa maana, na mwanamke anayejielewa kwa ajili yako.

    🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo, 1. Wakati wa kukupa mimba. 2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu. 3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla. 🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye...
  14. comrade_kipepe

    USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

    Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
  15. Rorscharch

    Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  16. Eli Cohen

    Issue ya Fanton iko very sad, kuna wakati kile ulichopaswa kukihofia tu ni ku-maintain mafanikio yako. Sasa hivi unahofia kama wife ataruka kutaka 50%

    Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy. Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake, ongezeko la utamaduni wa kisera sera na influence ya social media. Tulipokuwa wadogo, pale baba...
  17. S

    Jikomboe Kiuchumi Hatua #2 - Lipa Madeni Yako [The Snowball Method]

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi wenye shati nyekundu hapa mzigoni, kitu ambacho sio kawaida). 14/02/2024 (mwaka jana) nilivaa polo hii...
  18. Eli Cohen

    Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  19. Beira Boy

    Mtani wangu Oten wa Moro ulitupiga kamba kwenye Ngoma yako ya nicheki, upanga siyo mitaa ya kisure bal ni uswahilini

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu alizidisha uongo uongo mwingi sana Jamaa anasifia mitaa ya upanga ni mitaa ya kisure , ukweli ni...
  20. Consultant_Silwano

    Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
Back
Top Bottom