yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto kila mwenye akili anakutuhumu wewe/serikali yako kuhusika na kumteka Twaha Mwaipayaa

    Haiwezekani, watu bila ruhusa yako/ serikali yako, na magari matatu mchana kweupe wakamteka Twaha bila serikali yako na wewe personally ku sanction unyama huo! Huo ndio ujumbe wa watu wa Mungu.
  2. tovuti website

    JamiiForums Tanzania Je tovuti yako inatumia PHP-Hili linakuhusu

    Kwa wamiliki wa biashara zenye tovuti,Developers Limetolewa Tangazo kuhusu Vulnerability ya kimfumo katika lugha tumizi ya PHP ambayo inatumika sana katika Uundaji na uendeshaji wa Tovuti nyingi duniani.Kwa mtumiaji wa kawaida,Athari yake ni uwezo wa mtumiaji mwenye nia mbaya kufanya shambulizi...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Maana ya maisha, ni maisha yako mwenyewe

    Tunaishi kwa matarajio makubwa sana.. Unadhani kutopata mke mzuri, kukataliwa na mtu tumpendaye na kukosa mahusiano mazuri ni kwamba hatuna thamani. Tuna dhani wanaoendesha magari ya kifahari na kumiliki majumba ya thamani ndo wanamaisha bora. Unafikiri kuwa kukosa kazi nzuri na kuwa...
  4. papag

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako?

    Eti?
  5. Kizumari Technologies

    JamiiForums Tanzania Kila Picha Unayopiga na Simu Yako Inaonyesha Ulipo - Watu Wanaweza Kukufuatilia Nyumbani Kwako Kupitia Picha Tu Na Kuhatarisha Usalama Wako

    Habari wadau, Natumai mko poa Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu. Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua? 1. Mahali...
  6. La Roche

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua thamani yako?

    …..
  7. kisalinaseu

    JamiiForums Tanzania Jipatie mifuko iliyoprintiwa detail za biashara yako vizuri

    Tunauza na kusambaza mifuko iliyoprintiwa detail za mfanyabiashara kama vile jina la biashara, nembo, location, barcode, mawasiliano ya biashara n.k. Tunauza kuanzia pc 100 kwa bei poa kabisa. Ipo ukubwa mbalimbali ya A4, A3, mpaka A2, A4 PC 100 utajikusanyia kwa tsh 40000 tu. A3 pc 100...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kamera yako ya CCTV haioni vizuri usiku? Mwongozo wa picha safi gizani

    Habari wana JF, Swali ninalopata mara kwa mara: "Nimeweka CCTV, lakini usiku picha ni giza, ukungu au nyeupe kabisa — kwa nini?" Uhalifu mwingi hutokea usiku. Kama kamera yako haioni vizuri gizani, umelipia kitu kinachofanya kazi nusu tu. Leo nitaeleza kwa lugha rahisi jinsi night vision...
  9. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

    Kila mama anadhani anamjua mwanae asilimia 100, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana tabia yake ya siri ambayo mama yake hajawahi kuijua. Sasa tuambie ni tabia gani yako ambayo mama yako haifahamu?
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Data Science hapo Chuo cha Takwimu, Masomo ya kozi hiyo yako vipi na lini na lini

    Mliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi
  11. La Roche

    JamiiForums Tanzania Tengeneza thamani yako, usikubali kudharauliwa.

    Thamani HUTENGENEZWA! Vitu vyenye Thamani HAVIPATIKANI KWA URAHISI,na hata vikipatikana Bei yake hairuhusu KILA MTU kuvimiliki. Ukiijua Thamani yako huwezi KUZAGAA-ZAGAA TU MTAANI...Ukijijua wewe ni nani HUTAKUBALI kupelekwa-pelekwa na upepo na kupotezewa muda na Fala Yoyote...Ukijijua wewe ni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako anayetembea na mke/mume wa mtu. Usimuamini. Huna Rafiki hapo. Ni wazi hata mkeo/mumeo anatoka naye. Wewe ndio hujui tuu.

    Hamjambo! Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako. Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu. Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo. My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni machines ya ndoto yako

    Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha. Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki...
  14. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Kariakoo kuna watu wanaweza kukuibia hela kichawi, zikiwa ndani ya wallet yako, bila kuchana begi wala kukupora?

    Nimeibiwa 200,000/ hela ya Marekani imebaki, hela ya Kenya imebaki. Nilikuwa naenda kununua gauni la kuvaa harusini jumamosi. Vitambulisho vimebaki. Hiyo pesa nilitoa kwenye ATM ya hapo CRDB Uhuru street, nikaidumbukiza moja kwa moja kwenye wallet, kisha nikaiweka ndani ya pochi. Nilipofika...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako mnapozungumza

    Kuna marafiki au Watu wa karibu wanaweza kukuaibisha mbele za watu yaani haupaswi kabisa kuwaweka loudspeaker kwenye mazungumzo yenu hawakawii kutoa maneno mazito katikati ya maongezi ukabaki kufunga mdomo. Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako...
  16. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  17. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Njoo tujifunze biology:Je unafahamu eneo lnapotoka sauti yako?

    Hapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords, na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. . ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna...
  18. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

    Wakuu mambo vipi ? Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  20. fatherlikenoother

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
Back
Top Bottom