Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Tunaishi kwa matarajio makubwa sana..
Unadhani kutopata mke mzuri, kukataliwa na mtu tumpendaye na kukosa mahusiano mazuri ni kwamba hatuna thamani.
Tuna dhani wanaoendesha magari ya kifahari na kumiliki majumba ya thamani ndo wanamaisha bora.
Unafikiri kuwa kukosa kazi nzuri na kuwa jobless ndo kipimo cha thamani zetu, yaani maisha yamekuwa kama uwanja wa vita, kila mmoja yuko kwenye survival mode each and every time.
Ila ukweli ni kwamba, sisi binadamu hauna tofauti na wanyama
Unazaliwa, unaishi, then unakufa tu..
Periodt.
Sasa, hizi anxiety za kukataliwa, kukosa millions, na kupigwa matukio, ni kwanini zinatutoa kwenye mstari wa amani kuu iliyo o moyoni mwetu?
Kuna siku nimekutana na pisi kali, yaani imenyooka kinyama, sasa tulikuwa kwa siti moja, ilikuwa kali balaa nimebonga nayo, inanijibu majibu ya kunya!
Nikasema, anyways... It's fine.. Nika chukua phone nakuanza kucheki movie..
Sasa, baadae nikaja kugundua kumbe imecheatiwa na aliyekuwa boyfriend wake. Na she was just on her way back to college.. Sasa all she needed was being honest tu na ngelitambua kuwa the problem, so baada ya kujua, she was heart broken (via mazungumzo yake na friends wake) nikaja na idea ya kuanzisha mazungumzo ili kum make awe vulnerable..
Aisee it turned out to be one of the very interesting convo, tuka exchange numbers na japo kuwa she wanted a relationship with me, niliona it wasn't worth it, maana she was living far away na bado nilikuwa najitafuta by then.. (namba zilipotea)
Okay, what do I wanna say?
Dunia imejaa maumivu kuna collective trauma. Na we tend to spread it, kwa wengine na wengine wanaspread kwa wengine.
Ila dunia haistop kwa ajili ya pain yako! Anxiety na depression hazifanyi watu waache kuishi, time never stops only you stop existing when you die.
Sasa, kwa nini uishi in pain for the rest of your life? Kwanini kuruhusu tukio lililo tokea miaka nyuma liwe guiding motive ya maisha yako?
Let that shit go..
Snap out of kujutia, acha watu waishi wa navyo taka, no one cares about you essentially.
Siku niliyo jua kuwa, true change isn't external ndo nilianza kuishi. Motivation works for an instant, ila true discipline and consistency is identical to inner conviction.
Let this weekend be a new gateway ya kubadili mitazamo yako na kuanza kuishi uhalisia wako, sio kufake kwa watu waone, ila kufanya kila ufanyalo liwe ndo dhana ya identity yako.
Nice weekend y'all 🔥