Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi wenye shati nyekundu hapa mzigoni, kitu ambacho sio kawaida). 14/02/2024 (mwaka jana) nilivaa polo hii...