yakubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aljazeera: Ukraine yakubali kusitisha vita ndani ya siku 30

    Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali masharti hayo hayo, kulingana na taarifa ya pamoja ya maafisa Jumanne jioni. "Ukraine ilionyesha...
  2. Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  3. Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  4. Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba

    Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba. Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa...
  5. Pre GE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  6. Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  7. Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

    Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa. Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani? Comb ya PCM , pacome, Chama, Max. Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA. CPA Chama Pacome Aziz ki. Mbumbumbu Kwa combination hii mtakula za kutosha dadek. Shukran Kwa Eng Hersi Said. .yanga bingwa tena.
  8. Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  9. Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa tuseme imetosha waliobakia waendelee na maisha ila adabu wamekipata walichokitafuta. ====== Kiongozi...
  10. L

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  11. Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  12. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  13. Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  14. Apple yakubali yaishe, Iphone 15 inayotoka wiki ijayo kuja na charger ya type C

    Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
  15. Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  16. Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  17. K

    Kijana yakubali Mazingira ulipo, pana fursa nyingi

    Mimi ni kijana wa zamani,kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)naelekea uzeeni. Enzi hizo kazi za kuajiriwa haikuwa shida sana kama ilivyo hivi Sasa! Pia wasomi hawakuwa wengi kama ilivyo hivi Sasa,kila nyakati Zina changamoto zake!Simu za mikononi zilikuwa hamna Wala mitandao ya...
  18. Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  19. Yanga SC yakubali Kumuuza Mayele

    Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums? Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia. Safari Njema huko uendako Mayele.
  20. Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

    Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima. Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala. More money poor performance.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…