Misri yakubali kuchukua Wapalestina 500,000 sasa bado Somalia na kwingine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================

Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.

According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.

The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
 
Wawaokoe wanaotaka kuokoa maisha yao. Kuishi pamoja na magaidi wanaokulazimisha uishi nao ili wewe itumike kama kinga wanapotafutwa ni hatari kubwa.

Magaidi ya Hamas yakichimba mtaro chini ya nyumva yako, ukaamua kuhama, yanakuua.
 
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================

Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.

According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.

The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
Kamasi na Waarabu wa Gaza, huenda wakatimiza kilichowatokea Wafilisti wa Enzi hizo. Waislamu wakiambiwa kuwa jamii na viongozi wote wa zamani waliokuwa wamekamia kuwaangamiza wayahudi walipotelea mbali wao hawaamini. Hata Hitler na Makomanda wake kwa dhamira yao ya kuwafutilia mbali wayahudi walifanya utimie kwao unabii wa Queen Esther (kitabu cha biblia cha Esther 9:7-14). Na walifutiliwa mbali.
 
kosa la Misri ni lipi ? walipowafungia mpaka mlisema ni vibaraka ww Israel leo wamefungua mnawalaumu pia
Mkuu; mbona hivo? Sehemu gani nimeilaumu Misri kuhusu Wapalestina? Nimeuliza, why na Misri nayo inategemea misaada kujiendesha? Nime mnukuu aliyesema kuhusu misaada kukatwa na Trump
 
Kamasi na Waarabu wa Gaza, huenda wakatimiza kilichowatokea Wafilisti wa Enzi hizo. Waislamu wakiambiwa kuwa jamii na viongozi wote wa zamani waliokuwa wamekamia kuwaangamiza wayahudi walipotelea mbali wao hawaamini. Hata Hitler na Makomanda wake kwa dhamira yao ya kuwafutilia mbali wayahudi walifanya utimie kwao unabii wa Queen Esther (kitabu cha biblia cha Esther 9:7-14). Na walifutiliwa mbali.
Subiri umauti ukukute ndio utacheka vizuri, so endelea kuwashobokea hao mnaamini taifa teule
 
Back
Top Bottom