DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,742
Si ndugu zenu katika Imani
Mna chuki balaa kwa waislamu, mnaupiga vita uislamu, hata vifo vya watoto wakipalestina, wamama na wazee mnafurahia
Si ndugu zenu katika Imani
Acha wabaki kwao hukohuko Palestine hakuna wa kuwatoaSi ndugu zenu katika Imani
Teh tehee teehee,ama kweli kuna watu wachokozi!!, Aayah bhanaAu Msomera.
Naunga mkono hoja.Wawaokoe wanaotaka kuokoa maisha yao. Kuishi pamoja na magaidi wanaokulazimisha uishi nao ili wewe itumike kama kinga wanapotafutwa ni hatari kubwa.
Magaidi ya Hamas yakichimba mtaro chini ya nyumva yako, ukaamua kuhama, yanakuua.
Hio ilikuwa sera ya Rish Sunak,alipoingia Kier Starmer akaifyekelea mbaliKuna nchi zinapenda kujipendekeza au hela,hii inanikumbusha ile issue ya kagame,kukubali waamiaji toka Libya walio uingereza eti waende rwanda!!!, Sijui iliyeyukia wapi hiyo issue.
Mkiambiwa Quran yenu inayowapotosha chanzo chake shetani mnang'aka; ndiyo maana yule Mungu wa Kweli atahakikisha yale shetani aliyowaagiza hayafanikiwiSubiri umauti ukukute ndio utacheka vizuri, so endelea kuwashobokea hao mnaamini taifa teule
Thanks mkuuHio ilikuwa sera ya Rish Sunak,alipoingia Kier Starmer akaifyekelea mbali
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.
The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
![]()
Abdel Fattah El-Sisi says Egypt ready to absorb half a million Gazans | The Jerusalem Post
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.www.jpost.com
Jamani, inawezekana kwenye Biblia ilivyoandikwa wana wa Israel walipokuwa wakimuudhi Mwenyezi Mungu alikuwa anawapa adhabi ya kwenda uhamishoni, inawezekana sasa hao Wapalestina ndio wana wa Israel, mana tunaenda kushuhudia wakipelekwa uhamishoniHii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.
The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
![]()
Abdel Fattah El-Sisi says Egypt ready to absorb half a million Gazans | The Jerusalem Post
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.www.jpost.com
Jamani, inawezekana kwenye Biblia ilivyoandikwa wana wa Israel walipokuwa wakimuudhi Mwenyezi Mungu alikuwa anawapa adhabi ya kwenda uhamishoni, inawezekana sasa hao Wapalestina ndio wana wa Israel, mana tunaenda kushuhudia wakipelekwa uhamishoni
Safi sanaHii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.
The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
![]()
Abdel Fattah El-Sisi says Egypt ready to absorb half a million Gazans | The Jerusalem Post
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.www.jpost.com
Wakati wanasogezwa karibu na kunya landHii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.
The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
![]()
Abdel Fattah El-Sisi says Egypt ready to absorb half a million Gazans | The Jerusalem Post
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.www.jpost.com
Wanaofurahia vifo vya akina mama watoto na wazee ni magaidi hamas wanaotumia raia kama ngao.Mna chuki balaa kwa waislamu, mnaupiga vita uislamu, hata vifo vya watoto wakipalestina, wamama na wazee mnafurahia
Lakini sio jamabo jema kwa Wapalestina, kuondolewa kwenye ardhi yao na kupelekwa uhamishoni.
Hili jambo nilidhani utani kumbe Wazungu wako serious.
Jambo jema sana, waarabu wanaanza kusaidiana sasa.