yanga na simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini derby ya Yanga na Simba haikuchezwa?

    Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025. Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila unaweza kusaidia kupanua mawazo kidogo wakati huo huo ukitoa burudani ya hapa na pale. Tujadili bila...
  2. D

    Mechi ya Yanga na Simba ikiamuliwa kurudiwa litakuwa ni kashfa kubwa zaidi ya Upangaji wa Matokeo kuwahi kutokea katika Soka Afrika na duniani

    Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani. Na kwa kuwa inaonekana ni hujuma ambayo ilipangwa mapema(premeditated) kwamba Yanga wagomee mechi ya marudiano ili Simba wapewe...
  3. Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

    Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria" Soma, Pia Yanga...
  4. Tetesi: Tetesi mechi Yanga Vs Simba imepangwa kufanyika baada mapumziko ya michezo ya kimataifa na mgeni rasmu ataku Rais Samia Suluhu Rais

    Tetesi Zinasema Mechi kati ya vigogo hao itachezwa baada mapumziko ya mechi za kimataifa Na mgeni rasmi inasemekana atakua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani Tuone sasa kama kuna mtu atagomea kuleta timu uwanjani
  5. Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  6. Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  7. Serikali iwe makini na Ushirikina wa kijinga, Yanga na Simba

    Mimi si mpenzi wa Yanga au Simba, su timu yoyote nchini au nje ya nchi. Ila ilipofika jana jioni, usiku nikakutana na shabiki mmoja akilalamikia vikali kuahirishwa kwa mechi ya Yanga na Simba, iliyokuwa ifanyike jana mchana.. Nimefuatilia kiini cha tatizo. Kimsingi tatizo ni watu wazima na...
  8. N

    Kama mashabiki wa Yanga na Simba si mazuzu basi waache kuzishabikia

    Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa watashika adabu. Ukishaona timu wanaCCM wamo humo kuanzia mwenyekiti wao hapo hakuna raha ni kutumiwa km...
  9. Azam Media Limited yasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi kati Yanga na Simba

    Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia saa 1:15 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tukio hili limeleta athari kubwa kwa...
  10. Pendekezo: Mashabiki wa mpira tususie kuingia viwanjani maana hawa TFF, Yanga na Simba wanachezea akili na maisha yetu

    Bila kumumunya maneno, hawa TFF wakishirikiana na hivi vilabu vya Simba na Yanga wamegundua sisi mashabiki wa Soka wa Tanzania ni wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wafu. Wanaweza kutengeneza kanuni wanazozitaka wao, wakazistafsiri wanavyotaka, wakatengeneza matukio na kutuyumbisha wanavyotaka wao...
  11. U

    Mechi ya Yanga na Simba iwe game ya 30 kwao kuondoa mzizi wa fitina

    Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
  12. Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
  13. Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  14. K

    Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  15. Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  16. TANZIA Kipa wa zamani wa Simba, Yanga na Songea auawa kwa kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali

    Golikipa wa zamani wa timu za Majimaji ya Songea, Simba Sc na Yanga Sc, Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefariki Dunia baada ya kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali Inaelezwa asubuhi ya Machi 6, 2025 Doyi ambaye alikuwa tayari amepatwa na matatizo ya akili na amekuwa...
  17. CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  18. Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  19. Wakati CCM na Serikali yao wanabaka Demokrasia Watanzania tuko busy sana na Yanga na Simba

    Kama kuna kitu CCM wanajivunia nacho kwa sasa ni kuweza kuwaingiza mamilion ya wajinga wa hii nchi kwenye mfumo wao wa Yanga na Simba. Haya ni mafanikio makubwa kabisa ya Serikali ya CCM ya wakati wote tangu Nchu kuasisiwa. Kwa sasa hata nchi inavyo pigwa hakuna mtu anajadili make wajinga wako...
  20. Naipongeza Singida Black Stars kwa kuipa presha Yanga na Simba, Zanzibar ni sehemu sahihi kuichinja Yanga au Simba

    Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona. Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars) na kilichotokea ni hicho hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…