Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe!
Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
CCM ni wajanja sana, na hii awamu ya Mama wamekuwa wabunifu zaidi na zaidi. Unaambiwa wajinga wape msosi washibe na baada ya hapo watafutia michezo au Mada then waachie hapo watajadilu hadi kufikia kupigana.
Mada ya wiki imetoka na hii itakuwa sapoted na mada za Yanga na Simba, huu ndio ujinga...
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Kenya wanapeleka wachezaji 79 kwenye Olympic mwaka huu, na Olympic ndio imekuwa inaitangaza sana Kenya Kimataifa.
Timu ya Olyimpic ya Kenya ikiwa Ikulu sijaona Wamevaa ujinga ujinga sijui picha za Ruto ujinga, Ingekuwa ni Tanzania ya wajinga hio timu yote ingevalishwa tshirt zenye picha ya...
Mimi ni Simba ila sikubaliani na huu uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira na tusipo piga kelele now mbele ya safari hali itakuwa mbaya zaidi.
Kwa nini kuwe na kiwango hiki cha juu cha kuchanganya Mpira na Siasa? au Burudani na siasa?
Sijapata ya Yanga ila hope na wao wako huko uwanjani...
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe,
mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa.
Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu
a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54
Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu
b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
Salamu Wakuu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa.
Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali
Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili
Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.
Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.