Habari zenu,
Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school!
Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani.
Asanteni.
Kuna mengi yanaongelewa mpaka sasa kuhusiana na jezi mpya za Yanga chini ya udhamini wa Haier. Sitagusia kuhusu migogoro hiyo ya mikataba ila nitaongelea kuhusu uchaguzi wa rangi ya blue katika moja ya jezi hizo.
Msimu uliopita Simba kwa mara ya kwanza walitambulisha jezi zenye mchanganyiko wa...
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba.
Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023).
Sifa za huyu mwamba;
~ Unaambiwa huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.