yanga sc vs mtibwa sugar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time| Mtibwa Sugar 1 -1 Yanga SC | Ligi kuu NBC | Jamuhuri stadium | Machi 21, 2025

    Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome Mechi imemalizika
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT Yanga SC 2- 0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | KMC Complex | 28.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana mnamo tarehe 13 Mei 2024 katika mzunguko wa 27 wa ligi, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa...
Back
Top Bottom