DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni.
Mara ya mwisho timu hizi zilikutana mnamo tarehe 13 Mei 2024 katika mzunguko wa 27 wa ligi, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3–1 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kipindi cha Pili kimemalizika kwa Goli la Mohamed Hussein Zimbwe Jr
Full Time Yanga 2:0 Mtibwa Sugar