Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma
DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome
Mechi imemalizika
Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni.
Mara ya mwisho timu hizi zilikutana mnamo tarehe 13 Mei 2024 katika mzunguko wa 27 wa ligi, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa...