yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

    Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour...
  2. Majok majok

    Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  3. mdukuzi

    Tetesi: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

    Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu. Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya...
  4. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  5. M

    Kihasibu, Chama ni hasara Kwa Yanga, uchambuzi ni huu hapa

    Kama kawaida ya wahasibu wa Tanzania, ambapo hua tunasomea na kuchambua mpira, Mambo ya kihasibu, yaani kuhesabu mafaranga njoo kama vile tuliwachambulia Kwa Aziz Ki. Kwahiyo uelekeo wa CPA ndio unaonesha yote hayo, Haya mambo hamuwezi kuyaelewa ninyi Yanga, na hamtoelewa. Yaani uhasibu ni...
  6. S

    Chama ni bora kuliko Nzengeli ndani ya uwanja

    Gamondi, Hersi, piteni na hii:- Max Mpia Zengeli Ni mchezaji mzuri sana ila ana mapepe, sio mtulivu, ana papara anataka kufunga muda woote kumbe kazi yake ni kutoa pasi zenye macho, unashangaa mechi inaisha Max Mpia Zengeli Hana Assist Hata moja. Chama triple C Mwamba wa Lusaka Ni mtulivu...
  7. William Mshumbusi

    Leo nataka mje mtuambie Sasa Kati ya Pacome na chama Nani mkali? Na Nani ni mrithi wa chama pale Simba

    Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi. Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa. Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na...
  8. G

    Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

    Rais Samia alitoa ahadi yake ya kutoa hamasa kwa timu zinazo shiriki michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu vya YangaSC, Simba SC, Coastal Union na Azam FC kila Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5. Na hadi sasa Yanga SC amenufaika zaidi ya kuvuna milioni 50 katika michezo yake miwili...
  9. SankaraBoukaka

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  10. Vincenzo Jr

    FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC 📆 24.08.2024 🏟 Azam Complex 🕖 19:00 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL #GoliLaMama #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 2 Kibabage anachezewa...
  11. Mkalukungone mwamba

    Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

    Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga. Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
  12. Mkalukungone mwamba

    Nabi: Naiona Yanga ikicheza Nusu Fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu wa 2024\2025

    Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini Yanga itacheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Nabi amefanya kikao na Mfadhili...
  13. SAYVILLE

    Tajiri Hersi Said anaisaidia Yanga kwa mapenzi yake

    Maisha yanaenda kasi sana. Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM. Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
  14. Labani og

    Je, wachezaji gani wa Simba wanaweza penya 11 ya Yanga?

    Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
  15. Inside10

    Rais Samia: Nimewatia wadhamini timu za Simba SC na Yanga SC

    Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
  16. GENTAMYCINE

    Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

    𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 “Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa...
  17. GENTAMYCINE

    Mlioelewa alichokizungumza Rais Samia kuhusu Simba SC na Yanga SC naombeni kueleweshwa

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  18. Mkalukungone mwamba

    Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga

    Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level...
  19. Mr Alpha

    Tetesi: Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7

    - Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20). Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani. Yanga wakaitupilia mbali...
  20. U

    Rais wa Yanga aisifia Simba kuwa wana timu nzuri sana na wamefanya uwekezaji mkubwa wa billion 7

    “Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
Back
Top Bottom