yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  2. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #MpumalangaCup🇿🇦 ⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 20.07.2024 🏟 Mbombela Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  3. GENTAMYCINE

    Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  4. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

    Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
  5. NALIA NGWENA

    Mnadhani kwa huu mpango kabambe wa viongozi wa Yanga utaacha kuleta lawama na makelele kwa watu makini kama Mimi na wengineo?

    Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na viongozi wao. ukweli ni kwamba binafsi nilipoona haya yafuatayo tu nilijua kuna kikundi cha watu wachache...
  6. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

    Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
  7. GENTAMYCINE

    Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  8. M

    GB64 atoa tathmini ya usajili wa Simba SC kuelekea msimu wa 2024/2025. Auomba uongozi wa Simba uwalinde wachezaji wageni dhidi ya ulozi wa Yanga SC

    Bila ya Salamu. Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la Usajili kuelekea msimu mpya wa 2024/2025. Gb64 ni miongoni mwa wasemaji fasaha katika wanachama wa...
  9. J

    CCM siyo tu inazimiliki Simba na Yanga bali inavimiliki hata vyama vya Siasa, yaani CCM ni Chama Dola!

    Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
  10. Mkalukungone mwamba

    Yanga wasijidanganye kwa Dube, watafute kinara wa Ushambuliaji

    Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu Dube kujiunga na Yanga lakini pia Simba. Mimi naomba nishare nanyi kidogo kwa kile ninachokiona...
  11. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  12. Nyanda Banka

    Tetesi: Pacome aomba kuondoka Yanga

    Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024. Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka kwa Mabingwa wa Africa, Al Ahly. Kumbuka Pacome Zouzoua Peodoh amebakisha Mwaka 1 kwenye Mkataba...
  13. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu ameapa mahala na Kujiaminisha kuwa Chama anaenda Yanga SC na kama haendi afanyiwe Kitu ambacho hakielezeki Kiurahisi

    Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
Back
Top Bottom