Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula.
Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...