Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
Hii mikwaju ya Dancehall Ragga ya enzi hizo haijawahi kukosekana kwenye playlist zangu.
Naweza nikairudia mara mia mia bila kuichoka, zamani kulikuwa na vichwa sana, kuanzia wasanii, producers nk.
1. Shaggy - Church Heathen ft Ninja Man
2. Notch - Nuttin Nuh Go So
3. Sean Paul - Give It Up...
Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania.
1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima kwa tija, wakulima ambao watapewa pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu bora, mashine za kulimia na...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
Heshima sana wanajamvi,
Nimekuwa na utaratibu wa kutembelea hifadhi zetu za wanyama kwa muda mrefu sasa labda huu ni mwaka wa 10 au zaidi.
Nimetembelea hifadhi ya Serengeti zaidi ya mara nne au tano,mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2016.
Ukweli mchungu sisi waafrika sijui tuna laana gani ...
Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida.
SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi.
Mimi oga yangu naosha...
LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE
Brand: HP
Model: Probook 450 G5
Ram: 16
Storage: 512 (SSD)
Proccesor: core i5
Bei: Tsh 680,000/-
Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa
Location Mbezi Dsm
Phone No: 0714739838
Karibuni
Daah! Hii nchi hiii.
Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo.
Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta.
Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri...
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
After the sudden and tragic death of our father, everything changed in our household. My mom, once a devoted and caring parent, seemed to lose herself in grief and uncertainty. Instead of taking care of my siblings and me, she began to focus all her attention on buying unnecessary things to...
Kilimo-Utalii ni aina ya utalii unaojumuisha shughuli za kilimo, ambapo wageni husafiri kwenda maeneo yaliyopangiliwa vema ili kupata uzoefu unaohusiana na kilimo na maisha ya vijijini na mijini. Aina hii ya utalii inalenga kutoa uzoefu wa vitendo na kielimu kuhusu kilimo, desturi, na mazingira...
Wakuu Heshima mbele.
Binafsi kuna kitu kinanishangaza sana. Tanzania ni nchi ambayo raia wanaongoza kwa malalamiko dhidi ya serikali. Si serikali ya raisi yoyote ile iliyowahi kuwepo madarakani watanzania wasilalamike.
Lakini ukifika kwenye uzi kama wa battle Dar es salaam Vs Nairobi ni watu...
Wakuu,
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3.
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida.
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa...
Wakuu kwema?
Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema hivi.
kwa kifupi kabisa mimi nimetoka kwa mama yangu nikiwa na umri wa miaka 3 nakuja kuonana na...
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
Miaka miwil iliyopita nilienda kukopa benki fulani hapa Tanzania, na wakatuma deni kwa Afisa Utumishi na deni lilikuwa ni 12M, kilichotokea Afisa utumishi akakosea akaandika bilioni 1.2!
Cha ajabu baada ya kumaliza mkopo benki ikanipa stop deduction nimpelekee afisa utumishi ili aondoe deni...
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini.
Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.