Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato.
Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli...
Shekhe Ponda amesema kuwa suala la yeye kuitwa mtata halimshangazi kwakuwa anasimamia haki na lengo lake ni kutafuta haki na ndiyo maana hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya watawala wao kwa sababu ya haki.
Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile.
Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa Mkristo.
Ukristo yaani kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo kubwa, la neema isiyo na kifani.
Ila nasikitika...
Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
Huruhusiwi kubadili jibu lako...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe).
Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe...
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja.
Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
ANDIKO LA MSINGI
Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi:
"43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro. 45. Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona...
1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi...
KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au...
Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo..
YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na maisha yako
Acha ulevi
Acha uzinzi
Acha umalaya na ukahaba
Acha matusi
Acha kila aina ya dhambi na uchafu...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.
Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani
Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu
Ukiachana na vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.