yesu

  1. Father of All

    Kama hakuna anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu, kama kweli alikuwapo, inakuwaje Desemba 25 iwe siku ya kuzaliwa kwake?

    Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama...
  2. M

    Ufunuo juu ya kanisa la Kwanza Efeso

    https://youtu.be/s8_0x5qsMjc?si=fq37k1ROJCS4kBDJ
  3. Father of All

    Hivi Yesu ni mwana wa Maria au Mungu?

    Japo tunaambwa Yesu alizaliwa kwa miujiza, haitwi mwana wa miujiza bali mwana wa Mungu. Waarabu wanamwita mwana wa Mariam. Ukiangalia geneology au mti wa ukoo wake, Yesu ni mwana wa Joseph. Hii kidoto inachanganya. Je, Yesu ni mwana wa Maria au mwana wa Mungu? Je, utata huu unaweza kutafsirika...
  4. R

    Yesu mwenyewe wala mitume wake hawakupewa fungu la kumi(zaka). Ninyi wahubiri wa leo mmpetoa wapi mafundisho hayo ya uongo na wizi?

    Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
  5. wasumu

    Je unajua YESU physically tayari yupo duniani?

    Kwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
  6. Bullshit

    Mafundisho ya Mohammad yanayokinzana na Yesu kristo

    Mafundisho ya Nabii Muhammad yana tofauti kubwa na yale ya Yesu Kristo katika maeneo mbalimbali, hasa kuhusu tabia ya Mungu, mahusiano ya binadamu, na njia ya wokovu. Hapa kuna baadhi ya tofauti kuu: Upendo kwa adui Yesu Kristo alifundisha msamaha na upendo kwa maadui kama msingi wa maisha ya...
  7. Father of All

    Kwanini Mungu alimuumba Yesu kiharamu kama kweli alifanya hivyo badala ya kumshusha kama malaika?

    Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa...
  8. Genius Man

    Yesu atakuja kila jicho litamwona angalieni mtu asije akawadanganya mkisikia yesu ameonemana mahali flani msisadiki hatokuja kwa siri

    imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja kama bwana wamabwana, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu na jeshi kubwa sana na nguvu nyingi sana na...
  9. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  10. M

    Kwanini Yesu aliyaelekeza mapepo kwenda kwa Nguruwe na si mnyama mwengine?

    Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
  11. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  12. Down To Earth

    Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
  13. fakenology

    Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi. Ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa...
  14. tpaul

    Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

    Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa...
  15. Uwesutanzania

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,. Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE) Swali langu kwa...
  16. Truth Bot AI

    Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  17. C

    YESU NI MTU AU NI NAFSI NYINGINE?

    Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu. Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini: 1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba 2.Ni neno toka kwa...
  18. Li ngunda ngali

    Hivi, yupo Mwanafalsa kumzidi anayeitwa Yesu?

    Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko; Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano." Jawabu jingine; Sikuja kuwaita wema bali walio wakosefu." Mengi majibu yake aliyajibu kwa namna iliyokuwa vigumu kwa...
  19. sanalii

    Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

    Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu, Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole" Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
  20. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
Back
Top Bottom