Habari wakuu!
Wokovu sio Bwana asifiwe, Wokovu ni maisha mapya! Ni mabadiliko anayoyapata Mtu baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake( Yohana 1:12)
Masanja mkandamizaji ww ni mchungaji kitendo cha ww kwenda kucheza jukwaa moja na wasanii wa bongo fleva na wengine! Bado...
Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza.
=======
NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
Mzuka wanajamvi
Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee.
Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri...
Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu.
Kama tunavyokumbuka kuwa...
Ukianzia na Bunge, UVCCM na baadhi ya makundi ya watu wachache hasa wanaccm wako mstari wa mbele kabisa kupaza sauti na kupambana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibadilishwe ili tu kuweza kumpa Magufuli nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano.
Wengi wa wanaodai...
Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
Hapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Yesu Mwokozi wa Wakristo enzi za harakati zake za kufundisha alifika mji aliozaliwa Bethelehemu akiwa amebebwa na Farasi ikiwa aina ya usafiri aliotumia.
Farasi yule alishangaa kwa furaha wakati akiingia katika mji ule kuona watu wamejitokeza wamejipanga barabarani na wengine wakitandika nguo...
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku...
Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani, lakini Perpetua aliupokea Ukristo na kuwa mfuata kamili wa Kristo, japo historia haionyeshi ni...
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
Nimepata kusoma mahali fulani kwamba Yesu Kristo alifundisha neno la Mungu, aliponya wagonjwa na kufufua waliokufa, lakini sijawahi kusoma popote ambapo imeandikwa kwamba aliwahi kusababisha mauaji iwe ya kimbari ama ya watu kadhaa.
Hata hivyo, mimi si mjuzi sana wa mambo ya Biblia na wala...
Biblia inasema baada ya mpela mpela nyingi Duniani, Mungu aliamua kumtuma Mwanae pekee mwenye uwezo kama yeye aje Duniani kutangazaa neema na ukombozi, kuhubiri amani na upendo, kuasa watu kua wema na watende mema, wasiishi kwa mazoea ya Nabii Musa na mengine, wasilipe baya kwa baya bali walipe...
Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni.
Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ambapo anadai Mungu alimjia na kumpatia jina Yesu, na kuanzia siku hiyo hapaswi kuitwa au kutaja...
Habari Wana JF
Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence
Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu.
Sasa naendelea na hoja
kama kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.