yesu

  1. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo) Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya...
  2. V

    Asante Yesu umetenda tena

    Wakuu kwema? Wazima shkamooni. Jina la Bwana Yesu Kristo lisifiwe milele na milele Amina. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Niende kwenye Mada moja kwa moja..mimi ni mhitimu wa kozi ya afya kwa ngazi ya diploma nliyemaliza masomo yangu 2021 september.Baada ya kumaliza chuo na mapambano ya...
  3. Analogia Malenga

    Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya. Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha. Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
  5. MR.NOMA

    Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc . Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe...
  6. GENTAMYCINE

    Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  7. YEHODAYA

    TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  8. Kiranja Mkuu

    Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    TCRA naomba muone ===== UPDATES: ====== Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni. Zaidi, soma: Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye...
  9. Lycaon pictus

    Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

    Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu. Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa...
  10. S

    Kama mke wa Pilato alikosa amani kiasi cha kumsihi mumewe asimuhukumu Yesu asie na hatia,iweje wanadamu wa leo hata nafsi haziwasuti?

    Hata Pilatio mwenyewe hakuona kosa la Yesu ila alitimiza matakwa ya waliotaka Yesu asulubiwe na akanawa mikono akasema na dhambi hiyo iwe juu yao(mstari wa 24). Kuhusu Mke wa Pilato, soma mstari wa 19 katika haya maandiko. Kisa kizima hiki hapa: 11 Yesu akapelekwa mbele ya gavana naye...
  11. R

    Asante Bwana Yesu, malimao, ndimu na pilipili kichaa zangu haziibiwi tena

    Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo. Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka. Asante Bwana Yesu siibiwi tena
  12. J

    Watanzania mmerogwa na nani? Badala ya kujadili hoja za Kamati ya Maadili ya Bunge nyie mnamjadili Spika Ndugai na Yesu

    Kiukweli Watanzania kama taifa bado tuna safari ndefu sana kufika kule tunakotarajia kufika. Jana mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge mh Mwakasuka na wajumbe wa kamati wametumia takribani saa 3 kuelezea utovu wa nidhamu uliofanywa na wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima. Kwa bahati mbaya...
  13. Analogia Malenga

    Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  15. S

    Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga. Rejea kisa cha...
  16. FRANCIS DA DON

    Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  17. C

    Maajabu ya Mwamposa

    Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi FROM FACEBOOK 😁
  18. S

    Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Yesu alikula na kunywa na walevi, Je, Rais Samia anatumia Falsafa hii?

    YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth. Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
  20. matunduizi

    TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

    Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea. Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao. Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo...
Back
Top Bottom