Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo.
Kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
Yohana 3:16
[16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Yohana 3:5
[5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.
Luka 6:31
[31]Na...
YESU WAWILI
Picha ya ukubwa wa futi 15 kwa futi 29 kwenye ukuta wa kanisa, The Last Supper ya mchoraji Leonardo da Vinci, inayoonyesha mlo wa mwisho kati ya Yesu na wanafunzi wake kabla ya kukamatwa; muda mfupi baada ya Yesu kumtamkia Yuda kuwa atamsaliti, inaweza kuwa ndiyo kazi ya sanaa...
Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12.
Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
SEHEMU YA I
Na Da'Vinci XV
Naam,
Kesho huko kiama nitaketi nanyi wahenga , mnithibitishie ambayo mlinisimulia kama ni kweli au ni visasili tu au ni stori za Awafu mwenye nguvu kule darasa la Nne.
Mmenisimulia mengi mengi mno, mmenisimulia hadithi za Chief Songea Mbano na Mputa kule...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu.
Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na mihemko ya kidini. Kama unajijua Akili yako imefungwa fungwa hii mada haitakuhusu.
Hivi uliwahi...
Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili...
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British.
It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.-
MISSIONARY LEADER
SLAVE is some one who you own and works for you, under all conditions, and obeys you in...
Yesu anakaribia sana kurudi.
Wafiraji tubuni
Makahaba tubuni
Wenye pesa za ndagu na mtubu
Mashoga mtubu
Wasagaji na mtubu
Waibaji na mtubu
Mnapenda ushirikina na mtubu
Mnapenda Rushwa na mtubu
Mnaosingizia wengine na mtubu
Wenye nyumba ndogo na mtubu
Wadangaji na mtubu na Kila afanyaye uovu na...
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana...
Yesu wa Nazareth
WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo.
Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi ya wanazuoni wa dini na historia kuanzia Mashariki ya Kati, Amerika, Ulaya, Afrika na bado hadi leo...
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela
Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema;
..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
"Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi.
Yesu alisema. " Kanisa...
Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana?
Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani...
INCUBUS NA SUCCUBUS: MAPEPO YENYE LENGO LA KUMZUIA YESU ASIRUDI KWA MARA YA PILI DUNIANI
Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anaishi Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anaishi Rwanda na mwingine...
Kwa mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.
Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne...
Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa au Birthday ya Yesu, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe, sijawahi kusikia sikukuu ya kufa kwa Yesu, mnafikiri ni kwa nini ?
Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu...
Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu?
Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.