yesu

  1. matunduizi

    Ukiwa mkristo kushindwa ni kumdhalilisha Yesu

    Usipende mambo ya kushindwa. Biblia inasema " Kila alitendalo litafanikiwa. "Zaburi 1:3 " Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13 Hivyo kama ni mkristo unayejitambua hupaswi kukubali kushindwa jambo lolote ambalo umeanza na Mungu. Badala ya kutafsiri chochote kwako...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini tofauti na uhusiano uliopo kati ya Yesu, Allah na Yehova.?

    Kuna wanaosema Yesu ni Mungu, na wapo wanaosema Allah ni Mungu. Pia kuna wengine wanaosema kwamba Yehova ni Mungu. Je tunaweza kuwa na miungu watatu na wakawa na nguvu moja? Je nini uhusiano uliopo kati ya watatu haWa? Mimi naona hawa ndio chanzo cha ukosefu wa amani duniani.
  3. Z

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  4. MIRA01

    Hawa ndio watakaookoka na kumuona Yesu Kristo

    Naomba niweke hili wazi kabla sijaendelea na hiii mada kwenye kurasa huu, sipo hapa kuhukumu wala kukosoa imani ya mtu yeyote yule kuanzia kwenye madhehebu na iman na dini tofauti Moja ya vitu ambavyo wakristo wengi wanapambana navyo kwenye kipindi hiki cha mwisho wa kufunga historia ya...
  5. B

    Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

    Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi: "Kupambana na maadui zetu kwa vitendo." Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri. "Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?" Ajabu na...
  6. U

    Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  7. Chizi Maarifa

    Kwa Tabia zangu Zilivyo. Ningeambiwa nichague kuwa Yesu Masihi Au Mtume Muhamad leo hii

    Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu. Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life. Mimi ningeamua kuishi kama...
  8. R

    Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

    Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
  9. I am Groot

    Mjue mjusi "yesu"; Basilisk

    Basilisk ( Basiliscus basiliscus ) ni aina ya mijusi katika familia Corytophanidae. Spishi hiyo hupatikana Amerika ya Kati na Amerika Kusini, ambapo hupatikana karibu na mito na vijito katika misitu ya mvua. Pia inajulikana kama mjusi "Jesus Christ", Jesus lizard, lizard Jesus wa Amerika...
  10. V

    Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

    Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo Tofauti hapo ni nini ? Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo. Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile...
  11. Surya

    Nani alimwelewa Yesu kwenye hili fumbo?

    Mathayo 9:16 [16]Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu; maana kile kilichotiwa huondoa kipande cha lile vazi, na pale palipotatuka huzidi.
  12. Artificial intelligence

    Theological view: Yesu na Maria Magdelena

    Yesu na Maria Magdalena Watu wengi wanajua hadithi ya Yesu wa Nazareti kutoka kwa Biblia ya Kikristo. Alizaliwa huko Bethlehemu, mwana wa Mariamu, ambaye alikuwa bikira na ambaye alimchukua Yesu mimba kwa njia isiyo ya kawaida. Alilelewa na Maria na mumewe Joseph, ambaye alikuwa seremala. Kama...
  13. R

    Asante Bwana Yesu, angalau hili la kuuza bandari hata wajinga wa Tanganyika wamelielewa

    Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
  14. Ester505

    Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

    Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani. Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu. NIKO PALE NIMEKAA...
  15. R

    Maisha ya ujana wa Yesu kwenye Kitabu cha Urantia

    Habari wakuu. Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30. Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
  16. Ricky Blair

    Movies za Yesu

    Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ? Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na...
  17. McCord

    Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

    Anayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
  18. Lyrics Master

    Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  19. S

    Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  20. J

    Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
Back
Top Bottom