Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
Quran ipo moja tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo...
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14...
Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani.
Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
Historia ya Ng'wanamalundi
Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani.
Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi.
Mtu huyo...
Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee.
Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu.
Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari.
Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7...
Salaam , Shalom!!
Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE.
Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja...
Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo.
Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu mwenyewe anaingia front. Hii kitu imetokea gaza.
Hii si mara ya Kwanza. Mungu alimtokea Abram kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?
Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1?
Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo
Lugha zisizo na staha...
Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi.
Akimalizia misa yake...
AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako
Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu.
Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo.
Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo...
Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka.
Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo...
Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza...
Kuulizwa maswali.
Yesu alikuwa haogopi kuulizwa maswali. Hata kama ni ya kijinga atatafuta namna ya kukujibu ili uache huo ujinga.
Watu wengi wanaelewa kwa njia ya maswali. Nimeona wengi wanapenda kuongea mambo yao ila hawana ujasiri wa kuwaacha wanaowasikiliza wahoji na kuuliza maswali ili...
Wapendwa wadadavuzi na wadadisi, great thinkers, wa hapa JamiiForums na hata visitors nawasihi tuache porojo, tuzame ndani kwenye kuusaka ukweli.
Hii naamini ni mada mbegu itakayo ibua mjadala mpana .
Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume, Pascal Mayalla, Infantry Soldier karibuni tujadiliane.
Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
Amani iwe nanyi
Angalizo: Kabla ya yote Enyi ndugu zangu napenda kutoa angalizo kwamba Yatakayoongelewa hapa ni kwa lengo la kujifunza na si katika muktadha wa maana yoyote nyingine..
Kama mada inavyojieleza Kuhusu Mafundisho ya hao watakatifu wawili..
watakatifu hao wamekuwa sio tu na...
Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast.
Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda.
Ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.