Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji.
Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
Msaada tafadhali.
Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa.
Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie.
SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie.
Asante na mbarikiwe sana.
Habari!
Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa.
Bei yake ni 3,300,000.
Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi!
Asanteni!
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi.
Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
Habarini za wakati wakuu.
Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia.
Amani ya bwana iwe nanyi.
mshamba_hachekwi
Mshana Jr
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
Wakuu,
Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay!
Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie.
Natanguliza shukran
Habari wanaJamiiForums,
Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani.
Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024.
Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
Wadau Habari?? Nna youtube account yangu taarifa zake ni hivi ...
-It has 13usd, now it only needs identity verification.
-Has 4k+ subs
- per average it has 900 view Hours per every month since January 2024. Sometimes it hit 1.5k watching hours.
_ views kwa wasting ni 12k
-it has educational...
Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube?
Na chanel nyingi ni za Kiswahili!
Mwenye yuko na chanel aniambie.
Mimi ni kijana umri 26
Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma,
Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea,
Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content
Introduction
What happens when a football legend sits down with the king of YouTube? A fascinating exchange of insights, strategies, and perspectives on fame, success, and the...
Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa.
Yaani unaweza kuwa unasearch kitu cha maana lakini utakayokutana nayo kama huna lengo maalumu unaweza usitimize au...
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba.
Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph.
Mashabiki wamemuwashia moto hatari.
Hapo issue yake ya App ya Pannel ambayo ni App ya Wallpapers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.