youtube

  1. H

    Diamond azawadiwa certificate na YouTube baada ya kufikisha 3m subcriber

    Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi. Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
  2. BabaDesi

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    ===== UPDATED: July 2021 This wikiHow teaches you how to download YouTube videos to your computer, phone, or tablet. Keep in mind that while downloading most YouTube videos isn't illegal, it does violate Google's terms of service if you use third-party tools. Using VLC Player on a Computer 1...
  3. S

    Askofu Zachary Kakobe yupo live YouTube kwenye Ibada ya Krismas

    Ni mahubiri ya ibada ya krismas
  4. NairobiWalker

    After stealing a Kenyan song, Harmonize's Uno has been pulled from Youtube

    Tanzanians on social media have reacted differently after Harmonize's hit song 'Uno' was deleted from YouTube. On Wednesday, largest video sharing platform in the world, YouTube, pulled down Harmonize's song after Kenyan producer Magix Enga alleged he was the originator of the song's beats...
  5. beth

    Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

    Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
  6. NguoYaSikuKuu

    YouTube channels zinauzwa

    Nauza YouTube channels :) subscribers : zaidi ya 1500 + watching time hours : zaidi ya 1500 + UPDATE (HAZIUZWII TENA ZIMEISHA)
Back
Top Bottom