Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja wa watu wenye channel na upo nje ya marekani basi hii ina kuhusu kwa asilimia 100.
Kuanzia mwezi wa...
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni.
Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
Bofya hapa kuingia YouTube
Pia kama unaweza kujiunga moja kwa moja kwenye majadiliano bofya hapa chini kujiunga na ZOOM Join our Cloud HD Video Meeting
Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani.
Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na...
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan...
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....
Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani?
Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo?
Wacheni watu wapambane na hali zao maana hujui wanayopitia.
Nb: acheni majungu
Fang rekebisha title kwenye neno...
Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India.
Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
Programu ya YouTube Vanced husaidia watumiaji wa Android kutazama video za Youtube bila matangazo na pia hutoa huduma zingine za kulipwa za Youtube bila kuchaji.
Nilipata programu hii ya Android wakati nilikuwa nikitafuta programu kutazama video za youtube bila matangazo. Natumahi programu hii...
Habari!
Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote.
Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao.
Mambo yamekuwa si...
Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana
Wakati wenzetu ukisikia...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Zangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa...
Channel ya Youtube ya msanii Ibraah wa Konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana kuna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna uwezekano wakuilidisha tena . Ingekuwa imehackiwa wangeiludisha ila kuwa Terminated dogo inabidi aanze upya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.