Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni.
Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza
Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana upeo wake pamoja na uzoefu unaomsaidia kupata pesa mtandaoni, lakini pia kufanya biashara mtandaoni...
Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii wengine sio wanigeria maana wa uko Nigeria awawezi kununua viewers wa Youtube.
Kwenye hili sikubaliani...
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube
Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja
Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.
Ukienda kutazama post...
Wakuu , ningependa kufahamu huko mlipo kama mnaipata youtube. Naona wadau mbali mbali wanalalamika haifunguki, na nimethibitisha ila ukiweka VPN inafunguka kama kawaida.
Ni nini kinaendelea ?
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.
upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu...
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.
Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae...
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
Urusi imetishia kupunguza kasi ya Google ikiwa itashindwa kufuta kile ambacho Taifa hilo linaita ni maudhui yanayovunja Sheria huku Mamlaka ikitoa saa 24 kwa video zinazohusiana na Dawa za Kulevya na vurugu kuondolewa.
Kampuni hiyo pia umeshutumiwa kuminya Mtandao wa YouTube kwa Vyombo vya...
Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi,
Watu kununu...
Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka.
1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao.
2- beaf la Bujibuji na The Icebreaker laingiliwa na ndege JOHN
3- Mshana Jr akutwa na ungo kwenye nyumba ya SHIMBA YA BUYENZE...
WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨
Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama utawafikisha pahali! Niukweli mchungu lakini muupekee hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa yakumwomba mtu...
Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba.
Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
Kama ni mfuatiliaji wa Emmanuel Tv kwa maombi na mahubiri ya Prophet Tb Joshua utakua unaifaham channel pendwa ya Emmanuel Tv youtube channel kwani watu hupata maombi na mahubiri kupitia channel hii, hivi karibuni youtube imeifungia channel hii kwa sababu zisizo za msingi hivyo basi unahitajika...
Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya
www.supersoundtz.blogspot.com
njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.
Mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.