Duniani tupo watu 7.9B lakini Baby Shark Ina views Billion 10 (10B) Hawa watu billion 1.2 wametoka wapi[emoji848] ni wakina nani hao wame view?
Hili swala limegawa watu kwenye makundi mawili na kila kundi likiamini wao ndio wako sahihi na wanachokiongea na hadi Sasa Mimi Binafsi sijajua jibu...
Habari marafiki.
Hii ni post yangu ya kwanza hapa.
Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara ambaye hutumia muda wake mwingi kusoma mtandaoni. Kama matokeo, itabidi nitazame mafunzo ya youtube...
Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa.
Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto.
Ndio mwisho wa siku account...
Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo.
Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia,
1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge...
Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara".
Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati.
Mpaka...
Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile;
Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album!
Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile.
Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.
Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA.
Kungepatikana namna hata ya nchi...
YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha
Orodha ni Kama ifuatavyo:
1. Diamond Platinumz. 38.3 million
2. Rayvany 18.9 million
3. Zuchu 18.6 million
4. Harmonize 16...
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine.
Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo...
Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha.
Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers)...
Wakuu salama?
Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google.
Pia unaweza...
Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December).
Alphabet imepata faida ya Dola Bilioni 75.3 sawa na Trilioni 174 Tshs. Hiyo ni jumla ya faida iliyopata katika biashara zake zote na...
Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube.
𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗲𝘇𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿𝘀 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗳𝗮𝗶𝗱𝗮:
① Itaweka uwezo wa kuunganisha NFT na akaunti/channel ya...
Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;
1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media –...
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM
kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste.
Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi wowote kuhusu copyright kwa anayejua tafadhali sana nijulishe ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.