ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa.
kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa.
ukiingia chaneli za...
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii??
Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.
Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.
Tumpe pongezi zake.
Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.
Wimbo wa ninasiri umetoka...
Habari wakuu,
Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi...
TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.
Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote...
Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii.
Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi.
Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni...
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni
Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows.
Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
DAKIKA 31:49-37:50
https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy
Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru...
Anaandika mwakipesile mbarikiwa
Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo chini umetoka youtube na umeeleza hayo).
Hawa na wafuasi wao ndio moja ya wahubiri wanaosema kuwa...
Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni ya mwaka 1947 wakati Power Ilanda na Power Mabula wakishindana kuvuta gari kwa meno,Twaha Kiduku is...
Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni ya mwaka 1947 wakati Power Ilanda na Power Mabula wakishindana kuvuta gari kwa meno,Twaha Kiduku is...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Huawei ambazo hazisupport Google Apps kama Youtube, Playstore, nk, Nimetengeneza solution ya tatizo hilo kwa kukupa app ya Youtube inayofanya kazi vizuri bila kuhitaji Google Play Services.
Achana na ile Youtube Vanced. Hii ni custom Youtube App ambayo...
Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi;
1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com)
2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake...
Habari zenu,
Mara nyingi ninapokuwa naperuzi YouTube kuangalia videos mbalimbali nimekuwa nikikutana na videos za ajabu ajabu, videos ambazo mara nyingi huwahusu wanawake ambao huwa wanatoa ushuhuda au kuelezea matukio mbalimbali ya kingono ambayo wamewahi kukutana nayo.
Kwa mfano, unaweza...
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.
Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.