Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi.
Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni kosa kisheria.
Siamini kama jeshi la polisi Tanzania lilipata idhini ya kupakua maudhui hayo, hivyo nashauri askari aliyekiri kufanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake.