Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni Instagram na zingine. Ni MUHIMU WATANZANIA WAJIFUNZE KUTUMIA VPN kila mmoja awe na vpn ili tusikose information. Watafunga nchi halafu tutakuwa kama tupo kisiwani na watatufanya chochote wanachotaka bila sisi kufahamu.
Imagine, mitandao inafungwa kwa maslahi ya mtu mmoja tu kwamba ndiye anapiganiwa ashinde uchaguzi. yaani, maslahi ya kuchika kiti mtu mmoja tunaumizwa kwa kufungiwa mitandao yote ili tu yeye ashinde, yeye ana thamani gani kuliko watanzania wote?