Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

Sikuingia jeshini makusudi kuepusha yale ambayo ningemfanyia huyu bibi jimama maana nisingekuwa fala wa kutazama Undezi anaouleta hapa
 
Sisi Kama serikali Ni Bora kupeteza hela kuliko Imani tuliyepewa.
Fullstop
huoni kwamba ni wajinga mmekosa maono mpaka mnakimbilia kufunga mitandao bila kufikiria athari zake kiuchumi? Mnadhani kila mtu anafuatilia ujinga wenu wa kisiasa?
 
serikali iliyokosa kibali mpaka machoni mwa mashetani unafungiaje mitandao kisa kuna kajamaa kanawaambia ukweli, stupid kabisa hiyo nchi.
 
Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .

Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Kwenye maisha haya hadi umri niliofikia nilichojifunza kuhusu serikali yangu ya Tanzania ni kuwa mimi mwananchi ndio natakiwa niitii serikali na serikali haiamrishwi na mbuzi yeyote serikali ni lipapa likubwa alfu sisi wananchi ni vidagaa ikiamua leo nameza mia basi inameza ikiamua leo nacheua dagaa nao wapate chakula basi inafanya hivyo..
 
serikali iliyokosa kibali mpaka machoni mwa mashetani unafungiaje mitandao kisa kuna kajamaa kanawaambia ukweli, stupid kabisa hiyo nchi.
Walikua wanamzuia kujamba hivi wewe ukitaka kujamba una jambo lako unataka utoe kijambo kuna mtu anaweza kukuzuia usijambe kweli?
 
Kwenye maisha haya hadinumri niliofikia nilichojifunza kuhusu serikali yangu ya Tanzania ni kuwa mimi mwananchi ndio natakiwa nitii serijali na serikali haiamrishwi na mbuzi yeyote serikali ni lipapa likubwa alfu sisi wananchi ni vidagaa ikiamua leo nameza mia basi inameza ikiamua leo nacheua dagaa nao wapate chakula basi inafanya hivyo..
Sawa
 
Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .

Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Jana tu wametoka kuzindua Dira ya Taifa yenye maneno mengi mazuri ya kuhusu kuongeza access kwenye teknolojia na uongo mwingi kama huo.
 
Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni Instagram na zingine. Ni MUHIMU WATANZANIA WAJIFUNZE KUTUMIA VPN kila mmoja awe na vpn ili tusikose information. Watafunga nchi halafu tutakuwa kama tupo kisiwani na watatufanya chochote wanachotaka bila sisi kufahamu.

Imagine, mitandao inafungwa kwa maslahi ya mtu mmoja tu kwamba ndiye anapiganiwa ashinde uchaguzi. yaani, maslahi ya kuchika kiti mtu mmoja tunaumizwa kwa kufungiwa mitandao yote ili tu yeye ashinde, yeye ana thamani gani kuliko watanzania wote?
Ndiyo maana akiamua upotezwe leo unapotezwa. This is a mafia state!
 
Sema huu uchaguzi hautakuwa na hamasa yoyote wala ufuatiliaji,lazima wangefunga kila kitu!!
 
Back
Top Bottom