YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube.

Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika kutumia YouTube kupitia kivinjari (browser) au kufikiria kuboresha kifaa chao ili kuendelea kufurahia huduma kikamilifu.

Wauza simu madukani used mnawakati mgumu sana.
IMG_1805.jpeg
 
Back
Top Bottom