Wew unatumia Facebook ipi...ni watanzania wangapi wanajua haya ma vpn..watu tunajua biashara tu na siku zote tunatumia free bila shida ..kwanini siasa ndio zizime hii mitandao.mbona mimi facebook nimesikiliza hotuba yake yote na bado anaendelea kwa kupokea simu.
situmii vpn, ipo live mbona au?Wew unatumia Facebook ipi...ni watanzania wangapi wanajua haya ma vpn..watu tunajua biashara tu na siku zote tunatumia free bila shida ..kwanini siasa ndio zizime hii mitandao
Nimekupenda bureAiseee
Lazima watu tuungane kukemea huu ukumanina ...watu tuko bize kufanya biashara zetu tunafungiwa mitandao ?????Huu ni ulimbukeni na ushamba kufunga mitandao kwa mambo ya kisiasa. Makampuni ya mitandao yawe yanadai fidia kwa mitandao yao kufungwa