Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

Humphrey Polepole ana hoja nzuri sana, asikilizwe. Wahuni wamefanya zao kuanqzia kifo cha JPM mpaka uteuzi wa mgombea wa CCM nafasi ya Urais

Ametoa namba ya WhatsApp ya kuoigiwa simu +13057764396 kuuliza maswali
Duh hatari sana mazee
 
Hivi serikali inajua kwa watu wengine hii mitandao ni ofisi na wengi wanaitegemea kuendesha maisha yao. Huwezi tu kurupuka kuifungia mitandao ya kijamii eti kisa mwanasiasa fulani ana press conference kwenye mtandao husika.

Wanaosema kuzaliwa Africa ni laana wana point, wasikilizwe.
 
Back
Top Bottom