Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

Makampuni ya simu nao wanakuwa kama MANDEZI ,wanapokea maelekezo ya ovyo ovyo tu wakati wanaharibu biashara zao ,wastand firm kupinga huo USHUBWADA ,tangia jana internet ipo slow halafu ups and downs kisa tu press ya polepole ,UTTER NON SENSE.........Tutachoma ma 5G Router yao kwa upumbavu wao wa KINGESE.
 
Inabid watanzania tuamke tukemee huu upumbavu kabisa ..unafungia mitandao kwa kipi ambacho amezungumza huyo puppet wao? Nasoma review ya alichokisema sioni Wala sijaona kitu Cha ajabu Cha kuzima mitandao na kuwasababisha hasara watu tunaofanya biashara za mitandao...na hata kama hufanyi biashara , kwanini mtanzania azimiwe mitandao?
 
Kabisa tuwaambie hao wafanya maamuzi ,order inatoka kwa waziri wa mawasiliano kwenda TCRA then TCRA wanatoa order kwenda kwa MNOs(Mobile Network Operators) wafanye restrictions kwenye firewall ,ni Upumbavu sana huu ,ndiyo maana wanakataa Elon Musk asije Tanzania kwasababu watashindwa kumzuia na makatazo yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu.

Hizo kampuni za simu wasipofungua youtube naacha kulipia vi-router vyao vyote ,ni Usengelema wanatufanyia ,tunapoteza pesa zetu kwa upumbavu wao wa kijinga kupokea tu maelekezo ya KIJINGA na kuyakubali huku wakiua biashara zao.
 
Elon musk hawez kamwe kukubali huu upumbavu maisha...ndio mana Hadi leo anapigwa siasa na haya makampun ya kicartel yanayoweza kushurutishwa na kutishwa na kupelekeshwa 🚮
 
MAKUNDU wameshazima...hivi kweli mtu kama polepole ni WA kuzima mitandao nchi nzima? Kwamba ni nini ambacho hamtaki watanzania wasikie? Au mna HOFU kua watanzania watajua ...MAKUNDU
 
Back
Top Bottom