Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,405
- 3,267
Duh ,ya kweli pole pole ndio anasababisha hivi,nchi Ina vituko sana hii
MambooAiseee
Hata hao ccm wenyewe wameshikwa kishundu😁😁Mkiambiwa no reform no election c mnaona nikampeni ya lisu pekeee😁😁😁😁
Kuleni chuma hchoo na Bado tutashikwa mpk kalio na hkn ktu mtawafanya hao CCM maninaa,.
Hapa nimewasha vpn, tofauti na hapo haifungukisitumii vpn, ipo live mbona au?
Wanadai reform 😅😅CCM hoye
Kishindo cha polepoleHivi serikali inajua kwa watu wengine hii mitandao ni ofisi na wengi wanaitegemea kuendesha maisha yao. Huwezi tu kurupuka kuifungia mitandao ya kijamii eti kisa mwanasiasa fulani ana press conference kwenye mtandao husika.
Wanaosema kuzaliwa Africa ni laana wana point, wasikilizwe.
Hata wewe buku saba saba zikikata utaita presskwa sababu ni criminals kwa hiyo wanajihami siku zote …