PreGE2025 Hatimaye CHAUMMA wabadilisha account ya YouTube ya CHADEMA kuwa CHAUMMA Media TV, Heche hakumsingizia Mrema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.

Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee
1749043121395.png

Pia soma
Madai ya Heche Pre GE2025 - John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

Majibu ya Mrema Pre GE2025 - John Mrema: Madai ya kuwa nimekimbia na YouTube na X za CHADEMA si kweli, sikuwa hata na Password ya hiyo Mitandao

Chaumma yatumia akaunti ya youtube ya Chadema Pre GE2025 - CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao
 
Wanabahati sana wasingebadilisha ilikuwa iwe Terminated mrema aanze zero na chaumma yake. Hapo kilichobaki raia waende kuUNSUBSCRIBE maana contents watazozipata sio za Chadema tena.
 
Chadema haijawahi kuwa chama cha upinzan chini ya mbowe, now chini ya lissu ndio wapinzani wa kweli, wamekuwa mwiba kwa serikali !

Tumelea matakataka mengi sana yakina mrema , kigaila n.k ! Nyama na pombe za bure ! Kuna uozo mwingi sana kuanzia maridhiano, lowassa 2015, mpaka huzi kati covid 19, wale wabunge viti maalumu wanadunda huku waume zao ni viongozi wetu (mwalimu na kigaila) si upimbi huu?
 
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.

Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee
View attachment 3355798
Inawezekana alikuwa "anaimiliki" yeye bila Chadema kujua maana walikuwa bize na kelele za majukwaani. Na msije mkashangaa na Chadema yenyewe ikawa "inamilikiwa" na Mzee Mbowe na hamjui. Ndio maana Mwamba yupo kipembeni anawadekshia! Ahahahahaha!!
 
Chadema haijawahi kuwa chama cha upinzan chini ya mbowe, now chini ya lissu ndio wapinzani wa kweli, wamekuwa mwiba kwa serikali !

Tumelea matakataka mengi sana yakina mrema , kigaila n.k ! Nyama na pombe za bure ! Kuna uozo mwingi sana kuanzia maridhiano, lowassa 2015, mpaka huzi kati covid 19, wale wabunge viti maalumu wanadunda huku waume zao ni viongozi wetu (mwalimu na kigaila) si upimbi huu?
Inasikitisha Mbowe amekuwa akivuna mipensa at a expense ya wanachama wa Chadema... Amabo wengine wanauwa wa wakudhani wanapigania demikrasia kumbe usanii😢😢
 
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.

Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee
View attachment 3355798
Mbowe alikua tapeli sana, hivi channel ya chama inakuwaje mali ya mtu binafsi? Hivi hawa ndio Lowassa angeshinda si wangeiba kuliko hata CCM. Aisee Lissu amekuja wakati sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom