Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,540
- 8,256
Hao ni Gen Z wa Kenya wanefanya yao😃Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.
Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee
View attachment 3355798