youtube

  1. B

    Kulikoni mitandao ya Twitter na YouTube kutokuwa hewani?

    Kuelekea saa kumi na mbili leo, mitandao ya Twitter na YouTube imekumbwa na kwikwi. Haya mambo ya kuchaguliana kipi tusikilize au kipi tusione hali tumenunua bando na kulipia tozo zenu zote yanatoka wapi? Ama kwa hakika tunastahili maelezo kwa kuingilia starehe zetu.
  2. I am Groot

    YouTube 'Sub Sahara': Wanamziki wenye subscribers wengi 2021 kwenye mtandao wa youtube.

    Hii Ndiyo Orodha Ya Mastaa Wa Muziki Afrika (Kusini Mwa Jangwa La Sahara) Wanaoongoza Kwa Wafuasi (Subscribers) Wengi Katika Mtandao Wa Youtube 1: diamondplatnumz 🇹🇿 - 6.03 Million 2: rayvanny 🇹🇿 - 3.46 Million 3: harmonize_tz 🇹🇿 - 2.96 Million 4: davido 🇳🇬 - 2.82 Million 5: fallyipupa01 🇨🇩...
  3. sky soldier

    Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
  4. JMisiru

    7 Simple Ways to Create YouTube Videos

    There are many ways to create videos for YouTube. The favorites ones include using a Flip camera or recording a PowerPoint presentation using Camtasia screen capture software. But there are many other ways, too. 1. Create videos with a pocket camcorder. The Flip video camera is a simple digital...
  5. YEHODAYA

    TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  6. C

    Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  7. Ferruccio Lamborghini

    YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  9. sky soldier

    Kwa mara ya kwanza Youtube kumetulia, nashauri wasanii kutumia fursa ya huu utulivu ambao hautadumu

    Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze. Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata hajatrende vizuri mwengine ashaachia jiwe. Nadhani kwa sasa hu utulivu uwe fursa kwa wasanii. Goli...
  10. Kasomi

    Historia ya mtandao wa YouTube

    Historia ya mtandao wa YouTube YouTube ilianzishwa na Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim ambao awali wote walikuwa wafanyakazi wa PayPal. Hurley alisomea urasimu katika Chuo Kikuu cha Indiana ya Pennsylvania, huku Chen na Karim wakisomea kompyuta sayansi pamoja katika Chuo Kikuu cha...
  11. Ferruccio Lamborghini

    Wameishika YouTube robo 3 ya 2021

    Ikiwa leo zimebaki siku 90 kumaliza mwaka 2021, ikiwa pia imetimia robo tatu ya mwaka, kuna video nyingi za muziki wa Bongofleva zimefanikiwa kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa kipindi hicho. Baadhi ya video hizo ni: 1. Sukari - Zuchu Video ya wimbo huu iliyotoka Januari 30, 2021...
  12. Kasomi

    YouTube shortcuts kwenye Computer keyboard

    Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube. Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya. Baadhi ya shortcuts hizo ni; 1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku...
  13. Kasomi

    YouTube Yaja na YouTube story/status

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google waja na YouTube story. Youtube story ni kipengele cha kumruhusu mtumiaji wa YouTube mwenye account yaani youtuber kuweka hadithi kama ilivyo mitandao mbalimbali ya kijamii mfano Facebook na Instagram wao pia wanatumia Facebook story au instagram story...
  14. Chura

    Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

    Katika hali ya kushtusha Leo 7/9/2021 majira ya kuanzia saa 5 na nusu, mitandao maarufu ya kijamii Twitter na YouTube haipatikani bila VPN. Mtumiaji atalazimika kuwasha VPN ili kuendelea kufurahia kutumia mitandao hiyo. Mitandao hiyo siku za karibuni imekuwa ikitumika kama platform ya chama...
  15. Miss Zomboko

    #COVID19 YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
  16. Mad Max

    Konde Gang wananunua viewers au ndio Ibra mkali?

    Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08). Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.
  17. C

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube 1. #DIAMOND 5.44M 2. #RAYVANNY 3.03 3. #HARMONIZE 2.68M 4. #MBOSSO 1.71M 5. #ZUCHU 1.44M 6. #ALIKIBA 1.03M 7. #LAVALAVA 1.01M 8. #NANDY 847K 9.#ASLAY 805K 10. #ROMA 442K CC @chartdatatz
  18. C

    Orodha: Wasanii walitozamwa zaidi YouTube kwa mwezi Julai

    1. Diamond - Views Milioni 33.4 2. Rayvanny - Views Milioni 21.5 3. Zuchu - Views Milioni 19.1 4. Mbosso - Views Milioni 16.4 5. Harmonize - Views Milioni 16.2 6. Alikiba - Views Milioni 11.9 7. Nandy - Views Milioni 5.9 8. Rose Muhando - Views Milioni 5.2 9. Zabron Singers - Views Milioni 5 10...
  19. A

    Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na jinsi inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

    Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu, kwa namna ambayo ni chanya na hasi pia. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwaza kama chanzo cha kipato imekuwa chanzo cha kipato kwetu, na kwa hali ilivyo ya ugumu wa ajira na wahitimu kuwa wengi tumejikuta...
  20. 6WaS9

    Kwa YouTube content creators na wanaomiliki YouTube channel ni kweli U.S imepeitisha sheria ya kodi kwa raia wa nchi zingine pia 30% Tax ?

    Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani". hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo...
Back
Top Bottom