yuda iskariote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yuda Iskariote kumsaliti Yesu, inamaanisha nini?

    Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu tukiwa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka kuna kitu kimenitafakarisha kuhusu Yuda Iskariote kumsaliti Yesu, Naomba wabobezi wa maandiko mnijibu haya maswali: 1: (a)Je, wakuuu wa makuhani na Mafarisayo sura ya Yesu walikua hawaijui? hadi kumtumia...
  2. Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  3. Mkasa: Rafiki yangu alipogeuka Yuda Iskariote

    Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka. NB; Majina ntakayotumia humu sio halisi ili kuficha ID yangu. Usiku mmoja nikiwa katika harakati...
  4. M

    Heko CHADEMA kushinda kishawishi kilichomshinda Yuda Iskariote

    Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…