Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023.
Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa Iran inasemekana nchi hiyo ndiyo iliyotoa pesa za kujenga miundombinu ya kigaidi huko Gaza na ununuzi wa silaha kwa ajili ya Hamas.
Kwa haraka haraka unaweza kusema Qatar 🇶🇦 ni wapatanishi kweli lakini kiuhalisia wanauma kotę kotę ni wanafiki wakubwa wanajua kuumia na kupuliza.
Mhariri Mtendaji Maayan Hoffman anamhoji Rabbi Pini Dunner, bila kuficha Ana fi huna uovu wa Qatar na ufadhili wake kwa magaidi wa Hamas.
Jua kwa nini Rabi Dunner anasema kwamba Qatar ndio "mzizi wa uovu" na kwa nini viongozi wa Kiyahudi na Wakristo lazima waseme sasa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ERiVn0aer1Q&ab_channel=ILTVIsraelNews