yuda serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Sio kila Yuda ni Yuda Iskariote, kuna Yuda Tadei! Na sio kila usaliti ni uovu, kuna usaliti mwema. Je, Yuda wetu ni Yuda yupi?

    Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuendesha darasa kuhusu dhana ya usaliti, ambayo inatumia jina la Yuda. Kufuatia Yuda Iskariote kumsaliti Bwana Yesu kwa vipande 30 vya fedha, kumelichafua jina la Yuda, mtu akisikia tuu Yuda, akili yake inamtuma moja kwa moja kwenye dhana ya usaliti akidhani...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Masaga Kaloli: Huyo Yuda kama ni mwema anapaswa kuja CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli, amesema chama chake hakina nia ya kuingilia migogoro ya ndani ya CCM, lakini kama kiongozi anayetajwa kwa jina la “Yuda Iskariote” ana dhamira ya kuwatumikia wananchi na kusimamia ukweli, yuko huru kujiunga na upinzani. Akizungumza katika...
Back
Top Bottom