Masaga Kaloli: Huyo Yuda kama ni mwema anapaswa kuja CHADEMA

Masaga Kaloli: Huyo Yuda kama ni mwema anapaswa kuja CHADEMA

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli, amesema chama chake hakina nia ya kuingilia migogoro ya ndani ya CCM, lakini kama kiongozi anayetajwa kwa jina la “Yuda Iskariote” ana dhamira ya kuwatumikia wananchi na kusimamia ukweli, yuko huru kujiunga na upinzani.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kyela Mjini, Kaloli alikosoa baadhi ya wabunge wa chama tawala kwa madai ya kushindwa kuisimamia serikali ipasavyo na kusisitiza kuwa jukumu lao ni kutetea maslahi ya wananchi, kuhoji na kuikosoa serikali pale inapobidi.

Soma
 
Back
Top Bottom