Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda msaliti aliyeko Serikali, na kusema kuwa watu wazima tayari walishaelewa tafsiri yake
Pia soma...
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuendesha darasa kuhusu dhana ya usaliti, ambayo inatumia jina la Yuda.
Kufuatia Yuda Iskariote kumsaliti Bwana Yesu kwa vipande 30 vya fedha, kumelichafua jina la Yuda, mtu akisikia tuu Yuda, akili yake inamtuma moja kwa moja kwenye dhana ya usaliti akidhani...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli, amesema chama chake hakina nia ya kuingilia migogoro ya ndani ya CCM, lakini kama kiongozi anayetajwa kwa jina la “Yuda Iskariote” ana dhamira ya kuwatumikia wananchi na kusimamia ukweli, yuko huru kujiunga na upinzani.
Akizungumza katika...
Kama heading inavyojieleza makada waanza kujitokeza kumjibu simai aliyoyaongea kuhusu YUDA ndani panawaka moto yetu macho wachatuone mwisho wao.
=====
"Waziri wa utalii kule Zanzibar na hoja zake za kutatanisha kwamba kwanini alijiuzulu uwaziri kule anakuja kumkashifu na kumvunjia heshima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.