Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo...
Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara...
LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu.
Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao.
Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
Hello..
Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva..
Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?..
Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi..
Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
Wasalamu
Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati
1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima
2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema
3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila
4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi?
Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019
yuko wapi?
Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan.
Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013..
Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB.
YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli.
Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa...
Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)?
Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na kutuma vitisho.
Dida amekuwa akitumikia kifungo chake katika kituo cha kurekebisha tabia cha Big Muddy...
Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho
Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.