Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
gari
kujua alipo paul makonda
maana
makonda
mwabukusi
ngorongoro
serikali
tls
vyombo vya habari
vyombo vya habari vya uchunguzi
wamasai
wamasai ngorongoro
wapiyukoyukowapi
Wakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda
Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa kuwa Jina lake linatoa tafsiri Mbaya Katika Lugha ya Kiswahili.
Andiko la aina hii liliwahi pia...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti wiki anakuja na nondo hatari.
Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
Mshana Jr kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo.
Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni sabuni ya Imperial Leather.
Well nilikutana na hii kitu dukani Musoma huko, ngoma imebaki...
Wakuu,
Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi?
Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo.
Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active.
Wanaomfahamu wampelekee taarifa zangu kua namtafuta sana.
Nahitaji kuongea naye na kumtakia heri kwenye harakati zake.
Wakuu Heshima mbele.
Kwa kweli miaka ya nyuma kidogo kabla ya kupoteza akaunti yangu ya Jamii forums. Nilikuwa napenda sana kumsoma jamaa mmoja anaitwa barafu.
Kwa waliokuwepo jamii forums miaka ya nyuma nadhani wengi mtamfahamu mwana jamii forums barafu akianza kuchambua kuhusu mambo ya...
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee
Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.
Uzi tayari.
Mtoto wa kiume yupo atarini kupotea katika dunia ya sasa.
Najiuliza tu hawa wanaoleta agenda kila siku zakumkuza mtoto wakike (tena ni wanamume) , hawaoni kama mtoto wakiume nae anatakiwa kutazamwa ili kutatuliwa changamoto zake.
so sad kuona nowdays wanaume kuact kama mwanamke kwenye...
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
Amani iwe kwenu.
Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika.
Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi?
Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.