yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robinson crusoe

    Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  2. K

    Kamanda Sugu yuko wapi?

    Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
  3. B

    Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

    Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world!
  4. peno hasegawa

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

    Mzee wetu simsikii wala haonekani. Nimeuliza tu.
  5. D

    Yuko wapi mamito Evelyn Salt wa Jf

    Wewe kiumbe uko wapi!
  6. D

    Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  7. F

    Mke anatafutwa

    Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha. Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza. Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
  8. K

    Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  9. M

    Yuko wapi Lowassa? Kwa kweli tumem-miss sana kwenye siasa za Tanzania

    Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu! Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
  10. UmkhontoweSizwe

    Yuko wapi mzee Kinana?

    Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi? Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu. Nawasilisha UMK @ Nkotokwiana.
  11. S

    Mungu Yuko wapi?

    Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
  12. ZVI ZAMIR

    Yuko wapi Charles Jangalason?

    Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea. NYIMBO ZAKE: Na nyimbo nyingine nyingi...
  13. peno hasegawa

    Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  14. Unavoidable Servant

    Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

    Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi. Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
  15. Carlos The Jackal

    MwanaJF Bidada "Maserati" yuko wapi?

    Kama sijakosea ID yake , ila Huyu Bidada sijui alibadili ID, Sijui ilikuaje!..Mara ya mwisho kuona ID yake ni 2017 Kipindi najiunga JF niliwahi mshobokea PM, ni Mdada Mzuri, wa Umbo na Sura , Mpole pole with sweet language , Nahisi wa Kishua hivi . Wee Bidada kama upo Hai tusalimiane ...
  16. M

    Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  17. mngony

    Yuko wapi Balozi Liberata Mulamula? Mwanadiplomasia huyu Nguli aliiweza sana Wizara ya Mambo ya Nje

    Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni. Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa'...
  18. M

    Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  19. S

    Yu wapi Kipunje Mwamuzi maarufu wa Ndondo?

    Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar Refa Kipunje akiwa kazini Summary Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha. Sahau hilo la Webb. Tanzania kuna mtu mmoja anaitwa Kipunje. UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka...
  20. V

    Former CEO Barbara yuko wapi?

    Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani. Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka akaamua kubwaga many anga. Sasa waje watueleze wamefaidika nini kwa Barbara kuondoka Simba?
Back
Top Bottom