Wasalaam,
Nimetokea ghafla kumkumbuka sana huyu komredi wangu wa ukweli mzee wa "Piga Tuu"
Huyu ndugu yangu baada tu ya kuisha kwa uchaguzi na awamu hii ya tano kuingia madarakani tumekuwa hatumsikii kabisa.
Mawaziri wakuu wastaafu wengine kama Mzee Malecela, Mzee Warioba, Mzee Msuya na Mzee...
Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni.
Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku...
Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki".
NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania)
SOMA PIA:
Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu?
Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote...
Wasalaam JF,
Baada ya kipenga kupulizwa cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, ni matumaini yangu kwamba viwanja vya matukio vingekua vinarindima nchi nzima.
Ni mategemeo yangu kuona ratiba tight kabisa, hapa Lissu, pale Prof Lipumba, kule Hashim Rungwe (mzee wa ubwabwa) Zitto Kabwa katikati basi...
Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap.
Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo.
Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake
Habarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?
Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka...
Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition?
Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika...
Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
Wakuu Salaam;
Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.
Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.
Anayejua yuko wapi...
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti.
Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo"
Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini...
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia.
Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake.
Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana.
Huu usemi wa hujafa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.